Tanzania emblem

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania

Kuanzisha Enzi Mpya katika Udhibiti wa Sekta ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania
GBT Logo

KUSITISHA UTOAJI WA LESENI MPYA ZA MASHINE ZA SLOTI

13 Feb, 2023 Pakua

GBT imesitisha kutoa leseni mpya za kuendesha biashara ya Michezo ya kubahatisha ya mashine za Slot. Hatua hii imechukuliwa ili kuiwezesha GBT kutathmini njia bora zaidi ya udhibiti wa uendeshaji wa mashine hizo.